RDC : APLC, ilizindua ma kazi ya mafunzo ju maadili ya ufundishaji, uhadilifu n'a kupiganisha rushwa ndani ya système elimu à pa Kinshasa

Agence ya ukingo n'a kupiganisha rushwa ( APLC) ili zinduwa mafunzo apa mji mkuu ya wa congomani, Kinshasa Siku ya pili taré kenda mwezi wa Tano mwaka elfu makumi mbili- makumi mbili n'a tatu.

Hugues Mpaka

10 Tano 2023 - 08:46
 0
RDC : APLC, ilizindua ma kazi ya mafunzo ju maadili ya ufundishaji, uhadilifu n'a kupiganisha rushwa ndani ya système elimu à pa Kinshasa

N'a mafunzo iyo ita elekeya zaidi ju ya kupiganisha rushwa ndani ya eneo ya elimu ya Congo.

APLC, ni moja la gundi yenye kujiunga Ku présidence ya jamuhuri n'a msingi moja tu wakuleta Majibu ya kweli ju ya kupiganisha rushwa n'a ma anti valeur ndani ya eneo ya elimu ya primari, secondari n'a hufundi wa makazi.


« (....) APLC, Sawa vile kiongozi wa muhimu mwenye kuhusika n'a jambo la kupiganisha rushwa, anapendelea kutunga ali mpia ya mafunzo ya kudumu ju ya kukinga rushwa Ku ndiya ya elimu. Ili yoote niju ya kupata Majibu kwa haraka n'a ya kudumu, APLC iko n'a ushirikiano n'a UNESCO n'a ONURDC  wenye wana pangiliaka mafanyikiyo ya mambo mbalimbali ju ya ukingo wa ma convention ya Nation Unies ju ya kupiganisha rushwa »tuna weza soma ndani ya kibarua kia APLC.

N'a mafunzo iyo ita enda kwanzia taré kenda mpaka taré kumi n'a mbili mwezi wa Tano mwaka uyu, apa Kinshasa. APLC anaone msimamo Ku ingizi ma cours ya kupiganisha rushwa ndani ya elimu ya maternelle, primari, secondari n'a hufundi.
N'a mafunzo iyo yenye ilitayarishwa n'a APLC n'a ushirikiano n'a ONURDC, UNESCO n'a wizara wa Epst kwa wa formateurs ya walimu wa somo la primari n'a kwa cadres wa Epst niju tu ya kupiganisha rushwa katika njia ya mafunzo .

N'a kwa ngambo ingine , APLC ina jitahidi Ku imiza mafanyikiyo ya Ali ya kujihingiza ndani ya eneo ya elimu ya jamuhuri ya kidemocratia ya Congo n'a ita jitahidi ju ya kuboresha n'a kuongeza ma approche mingi ju ya kupiganisha rushwa  vile ili pangwa n'a CNUCC,

Hugues Mpaka Journaliste, rédacteur et reporter au sein de la rédaction de la UNE.CD ; Community Manager, présentateur d'émissions et journaux radiophoniques et télévisuelle, passionné des Nouvelles Technologies de l'Information et de la Communication (NTIC) ; licencié en Sciences de l'Information, département de multimédia de l'Institut Facultaire des Sciences de l'Information et de la Communication (IFASIC).