Mji mkuu wa Kinshasa :tshumba tsha umeme(SNEL) inajaliwa kuleteya wa kahaji wa quartier Yolo sud transformateur 630KW kisha miezi mi tatu ya uukosefu wa umeme
Tshumba ya tahifa ya umeme inakuya tena kurudisha furah kwa idadi ya watu wa quartier yolo sud yenye inapatikana ndani ya commune ya kalamu( Kinshasa). Nayo ili fanyika Siku ya kwanza tarée moja mwezi wa tano.
Ufungaji wa transformateur 630KW iyo , ili fanyika mbele ya mkurungenzi mkuu kwa mda wa tshumba ya tahifa ya umeme(SNEL) Bwana Teddy Luamba, mwenye anaonesha furah yake ya kuona mafanyikiyo la wazo ya Raïsi wa jamuhuri ya kidemocratia ya Congo , Félix-Antoine Tshisekedi.
« Tuli wa semeya wiki iliyopita , ya kwamba, tu ta jiunga ku jambo ju ya kurudisha mwanga kwanye kulikuwa giza. Léo, tuna kuya ku mafanyikiyo ya ku weka transformateur iyo, katika niya ya kusindikiza wazo nzuri ya Raïs wa jamuhuri ya kidemocratia ya Congo , Félix Tshilombo, kwa yenye kuhusu umeme ya watu wetu n'a Pia kusogeha n'a usimamizi kwa wateja wetu. Iyi ni mkoba mkumbwa wenye uhukuwa n'a umeme tangu mwezi wa pili. Nanjo mahana tuna kuja kufanya kazi iyo », Ili ni kahuli ya mkurungezi mkuu kwa mdaa wa SNEL, Teddy Luamba.